Msaada wa haraka unahitajika tafadhali

tangu uanze kufikishwa kileleni umeadimika sana mkuuu..what happens???au ndo ubize na mshedede
 
Hii niyakipekee kwa kawaida huwa ni siku 3 au 5 kwa hali yako kimbia mapema hospital.
 
Hujaama mkoa?
Hujabadili mazingira?
Hujabadili vyakula?

Maana mzunguko wako unategemea hivi vyote .
 
Kama ni kweli basi hii inaweza Kuwa sababu, coz ni baada ya kumpata huyu nilonae ndo nimeanza kuona tatizo
Ndio maana nikakueleza...kwa sababu hakuna dokta Atakaekueleza hilo!
 
unazingua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
How sasa. Mtoa mada ameshanijibu na tumeshaelewana. Wewe umezinguliwaje hapo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji87]
 
-stress.
-chakula.
-kubadilisha mazingira/hali ya hewa.
-contraceptive pills.
-hormonal imbalances.
-kukaribia menopause.[emoji12]
-kubadilisha dushe kila mara[emoji12]

Daktari wa wanawake atakuwa msaada kwako kwa sasa.
 
hakuana uhusiano wa limao na period yako.. ila angalia diet yako me nikibadilisha namna ya ulaji huwa naweza kosa kabisa period au ikapunguza siku me kwangu huwa hainipi shida naweza jua mwezi huu kwa ulaji huu navusha ,
Kumbe na ubabe wooote wa kupenda hela bado unakwenda mwezini?
Punguza ubabe, wanajimu hawako ivooo
 
Tabia nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…