Msaada wa haraka unahitajika tafadhali

Kwani umebadilisha jiko? Usishangae sana ...kawaida tu,si unajua midushe inatofautiana.
 
Hizo dawa za kuongeza makalio unazotumia huenda zinasababisha yote haya! Ziache mara moja... Yupo atayekupenda na kiflat screen chako...😀😀😀
Hizo dawa za kuongeza makalio unazotumia huenda zinasababisha yote haya! Ziache mara moja... Yupo atayekupenda na kiflat screen chako...😀😀😀
Mkuu mm nina tv ya chogo, siwezi tumia hayo makitu aisrr
 
Kwani umebadilisha jiko? Usishangae sana ...kawaida tu,si unajua midushe inatofautiana.
Kwani nayo inaweza ikawa sababu? Ndiyo naskia hii Kitu leo
 
Una reference ya ulichokisema?

Maana medically, diet and stress ni moja ya factor zinazoaffect menstruation.

Wew unatuambia eti ule vizur au ule vibaya lazima umalize siku zako, hiyo labda inakutokeaga wew tu, miili haifanani

Yaap maana na mm nimeulizwa mlo wangu ukoje? Nikaambiwa nitakuwa na stress, pia nilale masaa mengi
 
Kwa hiyo leo ndio umeanza kubleed au umemalza? Kama umemalza nitafute nikuelekeze vizuri
 
Kama ni kweli basi hii inaweza Kuwa sababu, coz ni baada ya kumpata huyu nilonae ndo nimeanza kuona tatizo
Bila shaka tangu mmeanza kukamuana itakuwa mna miezi miwili au mitatu
 
Na je kuna uwezekano KE akakaa miezi 2 bila hiyo mp yenu?
 
Nakushauri ukamuone daktari wa wanawake haraka... Wengine inatokea hivyo ikitaka kukata. Hormones zinakua inbalanced
 
Malimao ysnachangia kupunguza siku pamoja na kuifanya damu ya period iwe light(as per my observation)... pia ukipungua uzito sana/ghafla huwa inasababisha
 
Mtu anapo omba ushauri tuwe na busara si masihala. Kama huna msaada au hujui kiin cha tatizo c bora utulie. Tuwen waungwana tunakua kama midol. Tafta ufumbuz dada achana na wakosa busara
 
Nimetoka hospital nimeambiwa, nina stress, pia nalala Muda umeenda saana, nimeambiwa limao haihusiani kabisa
mmmh pole tafuta solution ya stress maana hii naijua inavyotesa
 
Una reference ya ulichokisema?

Maana medically, diet and stress ni moja ya factor zinazoaffect menstruation.

Wew unatuambia eti ule vizur au ule vibaya lazima umalize siku zako, hiyo labda inakutokeaga wew tu, miili haifanani
kwa kweli mm sijawahi kubadilisha na stress ninazo za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…