OK, mm huwa na tabia ya kupiga desh chai nakula mchana hadi usiku tena, au nikinywa chai mchana ndo desh tena hadi usikume natabia ya kunywa kunywa sasa nakuta nikinywa chai asubuhi napiga deshi mpaka asubuhi tena hapa sipati period huo mwenzi .....
nisipokula mchana chakula kinachoeleweka niakawa na vyakula visivyokuwa na afya unavijua hapa napata kidogo jua hapa mboga za majani matunda nakuwa sipati
na nikizingatia kama siku hizi nimeamua kuwa mtoto mzuri nakula vizuri nakunywa vizuri yani acha kabisa inakuja kama kawaida siku zake 3 maisha yanaenda
Sawa ndo maana nimeuliza kama unaweza Pima mimba na kipimio isionekane, two times
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sasa mabadiliko mengine si ndiyo faida mchuchu... huoni bingili bingili utaifanya mapema kuliko yule wa siku 3 ...!!!!!
Very possible, nenda hospitally, vile vidude sometimes vinazingua.
OK, nilivoona Hali hiyo imenitokea mwezi Ulopita nikapima ikawa hola, mwezi huu pia nimepima nimekuta hola, nikijiangalia na dalili za mimba sioni, manyonyo yakivimba, Kuwa meusi kwenye chuchu, na kichefu chefu sioni. Ila ngoja nikajiridhishe.Very possible, nenda hospitally, vile vidude sometimes vinazingua.
Hata mm nilihisi hivyo lakini nimepima Mara mbili hamna kitu
Nilishawahi tumia Mara moja mwaka jana mwezi wa sita
Nimetoka hospital nimeambiwa, nina stress, pia nalala Muda umeenda saana, nimeambiwa limao haihusiani kabisaHiyo hali si ya kawaida ule vizuri au vibaya uwe na stress lazima utimize siku zako zote.
Nina wasiwasi wa hizo limao maana kuna mtu alitusimulia kuwa yeye akiwa bleed gafla mpenzi wake akija huwa anakata kipande cha limao anakamulia kule chini na damu ukatika baada ya kama dk 10 hivyo uendelea na gemu.
Sasa nawaza limao ilivyochungu kule chini kutakuwaje?
Je mzunguko wako haujabadilika? Au unaumia vidonge vya kuzui mimba naskia navyo ni shida. Mm hata niwe na stress lazima nitimize siku 5.
Ingekuwa ni swala la kuingia mapema au kuchelewa ningeona kawaida.
pole muone dr.
Inawezekana, ila cha msingi ni vyema ukaenda hospital ukafanyiwe uchunguzi vizuri mana kuna vitu vingi ambavyo vinaweza affect your menstruation cycle.Habari ya tarehe 28 wakuu, naomba mnisaidie kunifahamisha tafadhali, hivi inawezekana mwanamke akaingia kwenye siku zake siku moja na ya pili akawa amemaliza? Hali hii imenitokea mm hadi nikapata wasiwasi, hii ni Mara ya pili sasa, Mara ya kwanza ulikuwa ni mwezi Ulopita, na sasa hivi Hali imejirudia.
Naomba wenye uelewa na hili mnisaidie. Pia nataka kuuliza kama kunaweza kukawa na uhusiano na hili, nimejikuta napenda kutumia malimao katika chai hii inaweza Kuwa sababu inayochangia?
Je Kuna madhara gani katika Hali hiyo, maana nimejikuta napata wasiwasi sana.
Nawasilisha, naomba msaada wenu tafadhali.
Una reference ya ulichokisema?Hiyo hali si ya kawaida ule vizuri au vibaya uwe na stress lazima utimize siku zako zote.
Nina wasiwasi wa hizo limao maana kuna mtu alitusimulia kuwa yeye akiwa bleed gafla mpenzi wake akija huwa anakata kipande cha limao anakamulia kule chini na damu ukatika baada ya kama dk 10 hivyo uendelea na gemu.
Sasa nawaza limao ilivyochungu kule chini kutakuwaje?
Je mzunguko wako haujabadilika? Au unaumia vidonge vya kuzui mimba naskia navyo ni shida. Mm hata niwe na stress lazima nitimize siku 5.
Ingekuwa ni swala la kuingia mapema au kuchelewa ningeona kawaida.
pole muone dr.