Msaada wa haraka unahitajika kuhusu HESLB

asante sana mdg wangu hyo code ya Mpesa naiweka wapi?help me out pliiz
hiyo code ya mpesa utaiingiza kuna sehemu ya kuingiza before hujafanya wala kuanza kujaza chochote ukishaingia tu kwenye ukurasa wa olams ko we fungua iyo olams then ingia utaenda sehemu ya new applicant or register utaclick apo then direct kitakuja kipengele cha kuingiza hiyo mpesa code.ni rahis sana fanya ivo usijali nawasilisha
 
[QUOTE="mimi code znakataa kusoma toka jana
 
[QUOTE="mimi code znakataa kusoma toka jana
Umejarbu tena,leo? nahsi labda tatizo lilikuwa mtandao.ama vip useme wanakwmbia nin au ujumbe gani,inavokataa kusom wanakultea? then ndo twaweza elewa shida nin.
 
thank u Ila hata hyo new applicant haiji au new register na ile OLAMS haifunguki kabisa
 
Nashukuru kwa msaada wenu your all greater thinkers sasa tatizo langu limebaki kwenye post form education bado cwaelewi
 
Nashukuru kwa msaada wenu your all greater thinkers sasa tatizo langu limebaki kwenye post form education bado cwaelewi
Kwani ukiingia wanakwambia nin hapo kwenye iyo post form four education? au wanaleta vitu gan au ni aifunguki?
 
Inafunguka lkn nikijaribu kuweka index nikisave neno save linaendelea kuwepo
 
Kwani ukiingia wanakwambia nin hapo kwenye iyo post form four education? au wanaleta vitu gan au ni aifunguki?
Naweka index namba yangu nasave neno save linaendelea kuwepo
 
Wakati wa kulipa via mpesa,kwa mtu aliyerisit anatumia index ya awali au ya kurisit?msaada wakuu
 
Wakati wa kulipa via mpesa,kwa mtu aliyerisit anatumia index ya awali au ya kurisit?msaada wakuu
 
Umejarbu tena,leo? nahsi labda tatizo lilikuwa mtandao.ama vip useme wanakwmbia nin au ujumbe gani,inavokataa kusom wanakultea? then ndo twaweza elewa shida nin.
ishakubal leo ndugu
 
1.KUPATA MENYU YA MPESA
BONYEZA *150*00#
2.BONYEZA NAMBA 4 LIPA KWA MPESA
3.CHAGUA KWA KUBONYEZA NAMBA 3 AINA YA BIASHAR UNAYOLIPIA
4.BONYEZA NAMBA 8 ELIMU
5.BONYEZA NAMBA 2 HESLB
6.BONYEZA NAMBA 1 KWA NAMBA YA KUMBUKUMBU
7.INGIZA NAMBA YA ACCOUNT AMBAYO NI NAMBA YAKO YA FORM 4 KWA MFUMO
HUU mfano: S0123.0123.2013
8.INGIZA AMMOUNT/KIASI TSHS 30000
9.WEKA NAMBA ZA SIRI
10.CONFIRM

Baada ya hapo,utatumiwa ujumbe wa MPESA wa uthibitisho,TUNZA SMS HIYO kwani utatumia code za mwanzo KU APPLY MKOPO.

MFANO WA UJUMBE:Utapokea ujumbe mfano "BA54KP432 imethibitishwa. Tsh 30,000..................

CODE UTAKAZO TUMIA NI HIZI HAPA: BA54KP432
 
Sio sahihi sana- kwenye mambo hizi utasababisha kichwa kitoke kirefu balaa.... Maintain Aspect Ratio!! Adobe Photoshop at least can help!!
 
Unatakiwa kupunguza sana ukubwa wa Picha iwe ndogo sana, pixel150 x 120 maximum 1 mb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…