Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 658
- 1,078
Hakuna alierekod maongez hayo.Kwani kuna mtu alirecord hayo maongezi?..nani shahidi?..
Shahidi wa shangazi ndo mtu muhimu,kitachotokea mashahidi watagongana,then uthibitisho kukosekana na kesi kutupwa kapuni..Hakuna alierekod maongez hayo
Ndio shahid wa shangaz yupo
Tena huyo mama alimuagiza shahid wa shangaz kwamba aje amwambie kama akiua paka bas yy ataua watoto na ndio shangaz kusikia na kumfuata na ndio wakaanza rushiana manenoShahidi wa shangazi ndo mtu muhimu,kitachotokea mashahidi watagongana,then uthibitisho kukosekana na kesi kutupwa kapuni..
Hamna kesi hapo,,mahakama hazifanyii kazi ya kuhukumu mambo ya kuchambana,,yeye akane hadi mwisho kuwa alisema bibi yule mchawi anafuga majini na shahidi wake asupport kuwa hakusema
Ndio hivo yan ujinga hatarUswahili kuna vituko sana...Yaani Paka ndio anawapeleka mahakamani ili kutumia kodi zetu na kuchelewesha kesi za baadhi ya watu waliosingiziwa ili kusikiliza kesi za paka?
Eeeh leta nondo bosiSerikali haiamini uchawi
Sina Ninachojua zaidi ya hapo mkuuEeeh leta nondo bosi
Ndio hivo yan ujinga hatar
Pamoja snSina Ninachojua zaidi ya hapo mkuu
Aiseee uko vizur kong yan ni kama ulikuwepo yan huyo mama mda mwing amekuwa akimsema shangaz kwa vitu vya ajabu hivo huyo paka katumika tu kama ulivosemaNilichogundua kulikuwa na kitu kinafukuta paka ni kama katumika kufukunyua hasira zao,wakalishe chini wamalize tofauti zao!! Kukaa na chuki na visasi muda mrefu inaweza kuleta maafa zaidi ya hayo ya mahakamani.
Kuna Mmoja huko USA alifuga chuki ,siku majirani zake wanaondoa barafu kupeleka kwake akatoka na mguu wa kuku alivyojibiwa vibaya tu akapiga mtu na mke kwa bastola akaona haitoshi akaja kuwafumua ubongo kwa SMG ..yaani yote ni accumulation ya chuki za zamani.
AhahahahaPaka kama Paka ... [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
Ahhahaha nami nilimshauri hivoHuyo paka si wamuuze tu kwa Simba Fc?
Kwanza serikali haiamini katika uchawi