Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,049
- 1,022
Michirizi ya rangi nyeusi na nyeupe Mkuumichirizi ya rangi gani?
Mimi kiukweli nilianza kutumia tecno mwanzo kabisa kutoka na ufinyu wa bajeti hivyo nimezitumia kwa muda sasa bila shida yeyote mpaka napo amua kuiuza au kugawa. Ila hili toleo limeniacha hoi.Mkiambiwa tecno sio cm hamsikii.
pengine connector ipo loose, au screen haijakazwa vizuri. wamekubadilishia simu?Michirizi ya rangi nyeusi na nyeupe Mkuu
Natumia tecno w5 ina mwaka mmoja na haijawai nisumbua.
Km unaitumia kwakupiga na kupokea utadumu nayo mda mrefu ila we km ni mtu wa net na YouTube mda wote tecno sio cm. Ingawa kuna baadhi zina betri Nzuri zinadumu. Mwisho wa tecno ni miezi 8 baada ya hapo angalia kwa makini kamera, uwezo wa touch, uwezo wa betri nk, hayo mambo hufifia polepole kwa hakika. Simu mbovu usidhani mpaka ianze kuzima ndo iitwe mbovu, feki Mchina mjanja unaitumia cm bila we kuelewa kuwa sasa imeanza kufifia uwezo wa mambo madogo ambayo ili utambue ni lazima uwe na cm kampuni nyingine km iPhone au Samsung. Tuchukue mfano wa iPhone 4 ya zamani Alafu ufungue kamera au YouTube utakuta pic zake zina ubora wa juu kuliko tecno cx ya sasaNini c5 ina miaka miwili na nusu na mwanzo nilikaa na h6 miaka miwili nadhani kutumia tecno inapendeza sana
Mkuu waliipokea wakaniambia wanaipeleka service centre ya tecno dar. Asante mkuupengine connector ipo loose, au screen haijakazwa vizuri. wamekubadilishia simu?
Pole sana mkuu vipi hukuwarudishia?Nina Tecno Y2 ni balaa,ilianza kuzingua siku ya tatu tangu nilipoinunua.
Ghafra inazimika yenyewe kuiwasha tena mpaka utoe betri kwanza,na ikijizima utakuta chaji imepungua kishenzi.
Baada yakufuatilia sana nimegundua ni tatizo la kiwandani kwa toleo la Y2,kwani mmiliki yeyote wa simu hii anakumbana na kadhia hiyo.
Kwa ufupi simu za Tecno ni pasua kichwa.