Msaada wa haraka tafadhari

Msaada wa haraka tafadhari

kibwaso

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
627
Reaction score
135
Ndugu wanajamvi nina sh.100000 nataka king'amuzi ninunue kipi? nipo Dodoma (startimes au digtek)
 
Ndugu wanajamvi nina sh.100000 nataka king'amuzi ninunue kipi? nipo Dodoma (startimes au digtek)
Startimes utapata kwa hiyo bei ila utalipia kila mwezi aina ya kifurushi utachotaka.Digitek bei ghali ila free no monthly charges nadhani kinauzwa tsh 160,000.
 
Azam ni kila kitu!! achana na hivyo vya kuunga-unga
 
Ndugu FUSO pesa hiyo nimebangaiza sana, posho zina wenyewe mkuu
 
Back
Top Bottom