Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
toka kwenye browser click sehemu imeandikwa documents kisha downloads utaona ulicho download, then copy peleka unapotaka mfano camera roll.Mkuu naomba msaada wako wa kuziamisha hivi vitu nlivyovi download toka kwenye document 6 kwenda kwenye media za kawaida za simu.
ukizihamisha utaweza kuzi acess kama media nyengine.Mkuu kwaio hataweza kuaccess kutoka itunes na kutumia kwenye media ya music
Mkuu ungeweka hata screenshot ya nyimbo ambayo umeidownload ungetisha sana..mfano ngoma ya diamond ya hallelujah...
Pamoja sana.Wakuu nashukuru sanaa sanaa kwa kadri mlivyonisaidia, nimeweza kudownload nyimbo atimae, kwa hakika hakuna jambo linaloshindikana JF.
Mkuu hio tubidy ndio player yako sasa,ukitaka ku access kwenye media player hakikisha nyimbo umeiweka kwa kutumia itunes au umeitoa app store.Mkuu nashkuru sanaa nimeweza kuinstall tubidy, ila shida imekuja kua vitu nnavyovidownload vinatumika tu humo humo kwenye tubidy sivikuti kwenye gallery au music ile player ya kawaida, nifanyeje kuzipeleka hizi miziki kwenye playlists za kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23]Msaada wa haraka nikajua labda ni dharura inayoweza kugharimu maisha ya mtu au watu ikiwa msaada utachelewa kumbe Simu!! Ushafuata mkumbo mambo yamekuchanganya unataka tuchanganyikiwe wote kwa tatizo lako?
document 6 utadownload, kila kitu.Wakuu kama nataka kudownload movie kwenye i phone nafanya vp?
Ntashkuru sanaa
ukienda sehemu ya ku update unaambiwa nini? una update na wifi?Chief-Mkwawa nimeshindwa ku-update iso yangu ni 7.1.2 katika iphone4S nimeangalia tutorial nyingi awapi sasa mkuu unawezaje nipa msaada juu la hili.
ukienda sehemu ya ku update unaambiwa nini? una update na wifi?
alternative tumia itune, connect simu na itune, then cheki update kupitia itune, angalia zaidi hapaUpdate haijaja kabisa ukienda kwenye Software Update hakuna kitu mkuu Chief-Mkwawa lakini sijajaribu kutumia Wi-Fi
Ahsante sana kwa kuikubali apple kumbe si nokia tu mpaka apple ni mtaalamu.alternative tumia itune, connect simu na itune, then cheki update kupitia itune, angalia zaidi hapa
Update the iOS on your iPhone, iPad, or iPod touch
sijakuelewa utaalamu wa nini?Ahsante sana kwa kuikubali apple kumbe si nokia tu mpaka apple ni mtaalamu.
Hiyo simu yako haiko jail broken kweli? Kama iko jail broken huwezi onaChief-Mkwawa nimeshindwa ku-update iso yangu ni 7.1.2 katika iphone4S nimeangalia tutorial nyingi awapi sasa mkuu unawezaje nipa msaada juu la hili.
Hiyo simu yako haiko jail broken kweli? Kama iko jail broken huwezi ona