Mkuu what are u waiting for? Weka tubidy bwana.Wakuu naomba kujua jinsi ya kudownload music hizi za bongo fleva kwa kutumia i phone, nimejaribu sanaa nimeshindwa.
Na vile vile uwezo wa kuamisha nyimbo toka kwenye pc kuja kwenye iphone bila kutumia itunes. Je kama istore yangu inazingua nifanyeje?
Nb. Natumia i phone 6 s
Mkuu ungeweka hata screenshot ya nyimbo ambayo umeidownload ungetisha sana..mfano ngoma ya diamond ya hallelujah...Mkuu what are u waiting for? Weka tubidy bwana.
Kama una itune kwenye pc tumia.
Hongera sana kwa kumilikinsimu za wachache.
Teh teh teh teh
Mkuu ungeweka hata screenshot ya nyimbo ambayo umeidownload ungetisha sana..mfano ngoma ya diamond ya hallelujah...
Haya masimu ni upuuzi mtupu, mambo mengii sanaaa, daaah bora Tecno.
ila mkuu kama hio ndo tubidy quality si inakuwaga sio ya kiwango cha juu?..mfano ni ngumu kupata mp3 yenye 320Kps
Mtu kusema eti iphone ni ngumu kutumia namshangaa sana
Quality yake poa tu mpaka sasa mimi nina nyimbo 34 zimetafuna mb 222 which means kila nyimbo imekula amost 6mb.ila mkuu kama hio ndo tubidy quality si inakuwaga sio ya kiwango cha juu?..mfano ni ngumu kupata mp3 yenye 320Kps
Walianza na androd
Mtu kusema eti iphone ni ngumu kutumia namshangaa sana
Sijui walianza wapi la msingi wanaosema huwezi download nyimbo kwenye iphone hii ni kati ya apps zinazokuwezesha.Walianza na androd
utakuwa na uwezo wa kuziamisha ziende kwenye library ya simu au?download document 6 appstore kisha tumia built in browser yake (chini kulia) utaweza kudownload na kuhamisha media zako.
yaputakuwa na uwezo wa kuziamisha ziende kwenye library ya simu au?
Mtu kusema eti iphone ni ngumu kutumia namshangaa sana
download document 6 appstore kisha tumia built in browser yake (chini kulia) utaweza kudownload na kuhamisha media zako.
Kwa tubidy vinabaki huko huko jaribu document 6.Mkuu nashkuru sanaa nimeweza kuinstall tubidy, ila shida imekuja kua vitu nnavyovidownload vinatumika tu humo humo kwenye tubidy sivikuti kwenye gallery au music ile player ya kawaida, nifanyeje kuzipeleka hizi miziki kwenye playlists za kawaida.
download document 6 appstore kisha tumia built in browser yake (chini kulia) utaweza kudownload na kuhamisha media zako.