Msaada wa haraka please.

Msaada wa haraka please.

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,014
Reaction score
104,481
penye bold pana maana gani? Out of... ina maana gani/
Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including Three credit passes out of Physics, Chemistry, Biology or Mathematics at O level. Credit pass in engineering subjects is also acceptable as the third credit pass.
 
Mi nahisi kwa lugha nyepesi hapo wanataka passes 4 kutoka katika masomo ambayo siyo ya dini lakini hizo passes 4 nilazima kuwe kuna Credit 3 ( Credit ni pass ila pass sio Credit ) ambazo zinatoka katika hayo masomo walotaja hapo juu. Mtazamo wangu.
 
"pamoja na credit TATU kutoka masomo yafuatayo Physikia, Chemia, Biologia or Hisabati katika mtihani wa Form 4 au O level"
asante sana tena sana. nimeelewa.
Mi nahisi kwa lugha nyepesi hapo wanataka passes 4 kutoka katika masomo ambayo siyo ya dini lakini hizo passes 4 nilazima kuwe kuna Credit 3 ( Credit ni pass ila pass sio Credit ) ambazo zinatoka katika hayo masomo walotaja hapo juu. Mtazamo wangu.
Asante sana, You are right.
Nina kijana amepata fizikia F inanipa tabu sana kozi za afya! Kila mahali ipo isipokuwa community health. famasia walizifuta za basic kwenye vyuo vingi, nimeona moja Mtwara...
 
Saivi afya kama huna pass ya Physics sio rahisi kupata.
 
Back
Top Bottom