Msaada wa haraka please, mke wa mtu anakufa hukuu

Aisee wewe ni mwandishi mzuri sana, nimepemda sana hadithi yako.. Nimesoma na nukta zote.

Sasa kama hii issue ni kweli, kifupi come clean kwa mume ujue moja, hakuna jinsi yake it from me, hakuna escape route hapo, come clean and let him decide, kama ujinga umefanya kweli na if uou have to face the consiquences then let it be, you have had you fair share of fun, time for payback and you only desrve it.

Umezowea sana kuganyiwa vitu mpaka unapokesea hutaki kukosolewa.
 
majanga! money penny unatisha anzisha blog
Jamaani nitaanzisha very soon asante sana

Mi nasomaga tu kama simulizi
Asante na karibu tena

Nimeshindwa kumaliza sijajua nn kilitokea
Soma utajua tu

aendeleee na bisi bisi
Hahahahah nimecheeekaaa

unajua kuandika script!
nadhani kanumba angekuwepo ungeuza hii movie kali sana!
kumbe humu JF watu wanaweza sana kuandika Movie, kwa hakika mimi nimeisoma mwanzo mwisho, sikuiwekea maanani kama tukio la kweli, ila nimeiona kama simulizi nzuri sana!
Asante sana rafiki, wabongo waliobaki kama akina Ray wanabaaaana me naziuza stori kenya na botswana at least wao wapo serious na maisha na biashara

Mje msome na hii basi
Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle
 
Nakushauri umuache mume wako aendelee na maisha yake, uwe huru kufanya umalaya unavyotaka wewe
Du, haya

Aisee wewe ni mwandishi mzuri sana, nimepemda sana hadithi yako.. Nimesoma na nukta zote.

Sasa kama hii issue ni kweli, kifupi come clean kwa mume ujue moja, hakuna jinsi yake it from me, hakuna escape route hapo, come clean and let him decide, kama ujinga umefanya kweli na if uou have to face the consiquences then let it be, you have had you fair share of fun, time for payback and you only desrve it.

Umezowea sana kuganyiwa vitu mpaka unapokesea hutaki kukosolewa.
Asante sana my friend
Mje na huku msome na hii
Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle
 
Back
Top Bottom