Msaada wa haraka nimeshakata tamaa

Msaada wa haraka nimeshakata tamaa

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Habari wana jukwaa

Nina cm yangu storage yake inajaa tuu yenyewe automatically naomba msaada jinsi ya
kusolve hili tatizo asanteni
 
Unaeza kufuta cached data kwenye setting pia kna kwenye application manager kna apps znakua na data kubwa fanya kuzreset to default
 
Back
Top Bottom