Msaada wa haraka ndugu zangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka ndugu zangu

Discussion in 'JF Doctor' started by mtani1, Apr 20, 2012.

 1. m

  mtani1 Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila nikijamiiana baada ya siku mbili au tatu natokewa na vipele/ blisters kuzunguka uume na mda mwingine vinaweka maji baadae hupasuka na vinakauka. Sijui tatizo nin. Kuna wakati niliingiwa na hofu nikapima vdrl nikidhani labda nimepatwa na magonjwa ya zinaa lakini hakukua na tatizo. Na ngozi ya uume nao naona kama umekua line sana si kama zamani. Mwenye utaalam tusaidiane
   
 2. g

  gforum Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kaka nahisi ni kaswende, but nashauri uende kwa docter na umwonyeshe akikupima utapata jibu, usizembee hiyo ndio inakutofautisha na mwanamke. Linda heshima ya jembe mpini usijevunjika
   
 3. D

  Dine Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Fanya hima bro uwahi hospitali ni hatari sana huo ugonjwa
   
 4. m

  mtani1 Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaswende kaka nijuavyo kungekua na usaha unatoka, alkini hata nikipima mkojo hakuna infections yoyote...au nipime kipimo gani maana nilienda kwa dokta siku moja akaniambia nipime mkojo tu na hakuona kitu
   
 5. n

  ngarambe Senior Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kimbia hospital mapema
   
 6. T

  TrueLove Senior Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbona kama kaswende inapimwa damu na sio mkojo? rudi tena hospitali utapata msaada zaidi.
   
 7. Jamiix

  Jamiix JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80
  Pole ndugu yetu,mimi si doctor,but with simple knowladge and experience itakua ni kaswende!

  Je Vipele husika hutokea ukifanya mapenzi na kila msichana ama ni msichana 1 tu?
  Vipi ukitumia mpira hua vinatokea pia?

  Soma hapa dalili husika na Madhara yake!,


  Katika hatua za mwanzo, vipele katika sehemu za
  uzazi huanza kujitokeza muda mfupi baada ya
  maambukizi ambavyo baadaye hupotea
  vyenyewe.
  Kama ugonjwa hautatibiwa, maambukizi
  huendelea kwa miaka, yakishambulia mifupa,
  ubongo na moyo na kusababisha madhara
  mengine yanayotokana na matatizo katika
  mfumo wa fahamu kama vile homa ya uti wa
  mgongo na magonjwa ya moyo na kiharusi .

  Ushauri wa bure kimbia hospitali haraka, maana stage one inaonekana ushaanza ipita,

  stage two vitajitoleza sehemu nyingine za mwili especial kwenye vidole

  stage three kichwani na hapo huponi tena
   
 8. Jamiix

  Jamiix JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80
Loading...