Msaada; Nahisi maumivu kwenye uume wangu baada ya kunywa dawa ya Malafini

P.hunter

Member
Nov 16, 2015
74
27
Habarii ya Muda huu wakuuu,

Kilichonifanya niandike uzi huu ni mkasa huu ulionikuta, Juzi kati nilienda hospitali kupima baada ya kujisikia vibaya wakaniambia nina Malaria wakanipa dawa inatwa Malafin.

Nikameza, baada ya siku moja nikawa nahisi hali ya maumivu kwenye uume wangu.

Kuukagua vizuri nikakuta kama kuna vipele vikubwa ambavyo vingine vimeshatumbuka na vingine bado.Sasa nilikuwa naomba kuuliza Je,tatizo linaweza kuwa ni side effect za dawa au ?

Maana ingekuwa nimeshiriki tendo kwa siku za karibuni ningehisi labda ni magonjwa ya zinaa lakini nina muda kidogo sijashiriki tendo.

Naombeni msaada wenu wataalamu.
 
Back
Top Bottom