RWEYONGEZA MUTTA
Member
- Oct 12, 2012
- 52
- 10
Acha uswahili ndg,yangu dawa ya deni ni kulipa na sio kubadili njia!
Acheni masikhara mwenzenu anahitaji msaada.
maRiba ya 50% kwa mwezi? Huu ni wizi wa mchana! Huyo jamaa ndio biashara yake? Ana leseni ya kufanya hiyo bishara?
Kesi za madai hazifunguliwi polisi ndugu...
Kesi ya madai huwa haimfungi mtu kirahisi hivyo. Cha muhimu hata kama mtapelekana mahakamani ni kwa mdaiwa kuonyesha nia na uwezo wa kulipa,kitu ambacho umeshaonyesha. Nenda tena na hizo lak 2 ukiwa na afisa wa serikali ya mtaa wake,omba kumlipa mbele ya mashahidi kiasi hcho,ahidi muda muafaka kwa wote amabao utaweza kulipa kiasi kilichobaki au kama hali yako ni tete ahidi kuleta hata robo yakiasi kilichobaki na robo nyingine utamalizia babadae, na muandikishiane makubaliano hayo.Akikataa hayo,basi mwambie huna la kumzuia aende mahakamani ambako nako najua watakutaka ufanye procedure hizo hapo juu. Cha muhimu kwako hifadhi kumbukumbu na ushahidi wa siku ulipompelekea nusu ya kiasi mbele ya mashahidi akakataa. Hao wakopeshaji kisha wanakomaa ulipe zote sivyo riba inapanda wapo wengi sana mjini siku hizi,ndio kazi zao na hawana hata leseni,tujitahidi kuwaepuka!
Ikifikishwa Polisi inabadilishwa na kuwa ya utapeli............
Chezeya Polisi weye.......:LOL
Hapa sijakuelewa. Unaweza kutoa mfano..?
Hata mimi nimeshangazwa sana. Unawezaje kukubali kuingia kwenye mkataba wa aina hii mkuu? Hii ni hatari sana, ulitegemea ungefanya biashara gani ya kukuingizia faida mara mbili halafu na wewe upate faida yako? Au ulikurupuka mkuu? Hapa bwana linaweza kuwa ni tatizo as far as mlishaandikishana na mkakubaliana.Riba ya 50% kwa mwezi? Huu ni wizi wa mchana! Huyo jamaa ndio biashara yake? Ana leseni ya kufanya hiyo bishara?
Ndiyo mkuu ndiyo biashara yake ila hana leseni na hata kama angekuwa na leseni sidhani kama angeruhusiwa na vyombo husika.
Vita ni timing tu,ukibanwa mahali pabaya baba mtu mzima unaweza kumwamkia mtoto wa miaka 10
Hata mimi nimeshangazwa sana. Unawezaje kukubali kuingia kwenye mkataba wa aina hii mkuu? Hii ni hatari sana, ulitegemea ungefanya biashara gani ya kukuingizia faida mara mbili halafu na wewe upate faida yako? Au ulikurupuka mkuu? Hapa bwana linaweza kuwa ni tatizo as far as mlishaandikishana na mkakubaliana.
hii style nzuri sanaKakope sehemu ingine umlipe kuepuka mlundikano wa riba (lipa deni kwa kutumia deni jipya)
Una Asset gani ya kuweka bond kwangu nikupe mkopo usio na riba ili ulipe hilo deni? jibu haraka niko kwenye mchakato wa kugawanya matumizi Shopping za Xmass za watoto + School fees. January sitaki inikute na majukumu yasiyobebeka.Mkuu,
Kesi ya utapeli wa laki 3? na hakimu naye atakubali? basi itakuwa ilikuwa lazima nifungwe. Mi naona yeye kwenda polisi ni kujiingiza gharama zingine zaidi hata kama yeye ana hela, ningekuwa nimekataa kuwa hanidai sawa, lakini ninakubali na ninataka kulipa nusu hataki, huyu si ana lake jambo tu? ni heri litokee.
Una Asset gani ya kuweka bond kwangu nikupe mkopo usio na riba ili ulipe hilo deni? jibu haraka niko kwenye mchakato wa kugawanya matumizi Shopping za Xmass za watoto + School fees. January sitaki inikute na majukumu yasiyobebeka.
Ha ha ha, kwahiyo unamwambia kijana Segera inakuja!Ikifikishwa Polisi inabadilishwa na kuwa ya utapeli............
Chezeya Polisi weye.......:LOL