NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 234
asante mkuu kwa maelezo yako mkuuKwa mujibu wa TRA ili upate exemption inabidi mshahara wako uwe at least TGS D au equivalent yake na zaidi. Sijui hiyo scale yako kama ni equivalent na TGS Dau zaidi kama ungesema ni sh ngp ningekwambia kama unapata exemption au la. Hata hvyo ukienda TRA watakujibu on the spot
Khaaaa we ni fisadi dagaa hakiamungu,me mwenyewe tgs e ila sina gari la $8500,mana hii ni mikato ya prado na nn,kazi kweli kweli
Khaaaa we ni fisadi dagaa hakiamungu,me mwenyewe tgs e ila sina gari la $8500,mana hii ni mikato ya prado na nn,kazi kweli kweli
Mhhh,kwakweli no hard feelings,lkn jamaa anatisha,mwalimu ana afford gari with an FOB cost of $8,500!!!!....kwanza utalimudu vip?
Nways,majibu ya swali lako sina,ila i felt compelled to expresss my atonishment!
<br />sasa kama anafanya biashara zingine awezi kumudu kupata izo pesa?? wewe endelea kusubiri mwisho wa mwezi ufike!
Mhhh,kwakweli no hard feelings,lkn jamaa anatisha,mwalimu ana afford gari with an FOB cost of $8,500!!!!....kwanza utalimudu vip?
Nways,majibu ya swali lako sina,ila i felt compelled to expresss my atonishment!
TGTS E ni zaidi ipo juu ya TGS D jamani mbona inajieleza kabisa? Wakati TGS D ni 446,100/=, TGTS E ni 618,300/=. Back to the topic Mkuu Ngoswe nakumbuka kama ulisema unafundisha Songea TTC hivi!!!! kama nakumbuka vizuri. If yes Mwajiri wako hawezi kuwa DED bali Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu. Kuhusu Exemption nenda TRA utapata habari hizo zote na kama sikosei inatakiwa ipitishwe na DAS/DC wa Wilaya husika then na RAS/RC wa Mkoa na kwamba haitarajiwi gari hilo liwe kwa jaili ya biashara na huruhusiwi kuuza kwa mtu mwingine kwa kipindi fulani nadhani miaka mitatuKwa mujibu wa TRA ili upate exemption inabidi mshahara wako uwe at least TGS D au equivalent yake na zaidi. Sijui hiyo scale yako kama ni equivalent na TGS Dau zaidi kama ungesema ni sh ngp ningekwambia kama unapata exemption au la. Hata hvyo ukienda TRA watakujibu on the spot
TGTS E ni zaidi ipo juu ya TGS D jamani mbona inajieleza kabisa? Wakati TGS D ni 446,100/=, TGTS E ni 618,300/=. Back to the topic Mkuu Ngoswe nakumbuka kama ulisema unafundisha Songea TTC hivi!!!! kama nakumbuka vizuri. If yes Mwajiri wako hawezi kuwa DED bali Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu. Kuhusu Exemption nenda TRA utapata habari hizo zote na kama sikosei inatakiwa ipitishwe na DAS/DC wa Wilaya husika then na RAS/RC wa Mkoa na kwamba haitarajiwi gari hilo liwe kwa jaili ya biashara na huruhusiwi kuuza kwa mtu mwingine kwa kipindi fulani nadhani miaka mitatu
Hope nimejaribu kuchangia Mkuu
Mwenzenu yawezekana yupo Mtimbira AU Ulanga analima sana mpunga.Kwa hesabu ya haraka sana ni gunia 290 za mpunga tu.Gunia moja la mpuga ni sh 50,000 la debe kumi.Tembea unone,kuna watu wanapata mpaka magunia 1000 tena wanataumia kilimo cha jembe la kukokotwa na ng'ombe.[h=2]Re: Msaada wa haraka......mwongozo wenu wakuu,[/h]By Madcheda