Ninaomba kwa mwenye software ya autocad anisaidie tafadhali au la naomba maelekezo kuna mtu anayo yupo dar ni kama mb800 amejaribu kunitumia ktk email na whasap lakin inagoma. . . ni njia gani inaweza tumika akaituma nami nikaipata? tupo mikoa tofauti.....naomba msaada haraka waungwana.