Chilemba wamela pamputi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 468
- 486
LUKU yangu imegoma kubonyezeka namba 8 tafadhali kwa wajuzi wa mambo nisaidieni maana leo ni siku ya tatu sina umeme ,
Natanguliza shukrani zangu nyingi. Aksante na karibuni saana
Natanguliza shukrani zangu nyingi. Aksante na karibuni saana