Msaada wa haraka kwa tapeli huyu!

Msaada wa haraka kwa tapeli huyu!

Hakuna siku ambayo JF nimeiona chungu kama hii leo, yani nina machungu ya mama kuibiwa nikaona ni vyema niwashirikishe wana jf wenzangu kwa msaada zaidi but unfortunately naambulia kumtukanisha mama hivhiv yani. Binafsi siwezi matusi na wala majibizano na watu na sijawahi kufanya hivyo hata humu JF so inabidi mkuu nivumilie tu japo kua imeniuma mno na kunikereketa sana nafsi yangu na naishia kujilaumu tu kwanini nilianzisha hii thread!!
Vumilia tu ndugu, huku JF ni sawa na kukatiza K\koo na Mzazi wako, Mke au Dada....roho itakaa jujuu maana kama sio wataporomosheana mitusi wao kwa wao basi ni kumbughudhi huyo uliye nae.
 
Poa mkuu usiwaze, lakini ili urenew lain inabidi iwe offline at least siku tatu mfululizo. Lakin hiyo lain bado ipo hewani so inabidi tuiblock kwanza then iwe offline kwa muda huo ndio tuta-renew
Okay,,me iliwai kunitokeaga nilienda tu bila kuwaambia kuwa ipo hewani ili kuepuka usumbufu,,,wakanitengenezea nyingine,,,,pole mkuu
 
Kwanini umtukane Mama wa mwenzako?Unaujua umri wake?Ukitukaniwa mama yako utajisikiaje?Akiwa ni mwenye umri sawa na Mama yako huoni kuwa hujatenda sawa?

Kulikuwa na haja ya kutukana?Kwanini usitoe ushauri bila kashfa?Jiangalie mkuu
Utajisumbua sana kumtukania mamake, maana mwenzio hata hajui mamake yuko wapi na wala hamjui aliokotwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimerekebisha kauli yangu,,,,ila mama yake nadhani nipo nae sawa kiumri,,,, ila we uhoni kama hao ni wazembe sana,,maana kawaida ukipoteza Simu unaenda kuSwap simcard nyingine ni dakika chache tu ,, ,,vitu vingine tunawalaumu bure mitandao ya Simu mkuu, ni uzembe wetu wenyewe,,
Hata kama mamake upo nae sawa kiumri ila si kwa majibu yale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimerekebisha kauli yangu,,,,ila mama yake nadhani nipo nae sawa kiumri,,,, ila we uhoni kama hao ni wazembe sana,,maana kawaida ukipoteza Simu unaenda kuSwap simcard nyingine ni dakika chache tu ,, ,,vitu vingine tunawalaumu bure mitandao ya Simu mkuu, ni uzembe wetu wenyewe,,
Kweli Kuna matatizo yapo nje ya uwezo wa mtu,ni kwa Msaada wa taasisi. Sasa kurudisha simcard /ku renew ni huduma iliyotapakaa nchi nzima tena kwa gharama nafuu.
Labda utapeli unafanywa na mtoa Mada,kaja kujisafisha
 
Back
Top Bottom