Msaada wa haraka kwa hii ps3 yangu....!!!

donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
Wakuu,
Direct ti the point. Nna ps3 yangu ambayo iko chipped na ilikua na firm vers. 4.55cfw sasa mimi bila kuelewa nkajikuta nimeupdate kwenda 4.82OFW (offc firm ware). Sasa games zangu zooote za kwenye multiman haziwez kurun ukifungua tu multiman inaleta error. Naomba msaada wa link ya kupata jailbreak kwa maana hapa nshajaribu kama 5 mwisho wa siku ngoma iko zipped na uki unpack inarequire password ja password adi ufanye masurvey yao. Mwenye working link pls
 
dojonase

dojonase

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Messages
342
Likes
165
Points
60
dojonase

dojonase

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2017
342 165 60
Nenda online waulize wenyew pes watakusaidia
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,437
Likes
9,354
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,437 9,354 280
huwa hack ya console yoyote ile inaenda na version husika, huwezi uka update then ikafanya kazi unless sony wajisahau kufix hilo tundu walilotumia ku hack.

hapo itabidi u downgrade, ila kama una mawasiliano na alie hack hio ps3 yako ni vyema ukashauriane naye kwanza.
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
huwa hack ya console yoyote ile inaenda na version husika, huwezi uka update then ikafanya kazi unless sony wajisahau kufix hilo tundu walilotumia ku hack.

hapo itabidi u downgrade, ila kama una mawasiliano na alie hack hio ps3 yako ni vyema ukashauriane naye kwanza.
Kweli mkuu, my last option ni kudowngrade
 
marandu2010

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Messages
1,238
Likes
320
Points
180
marandu2010

marandu2010

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2010
1,238 320 180
Ilishanitokea hiyo,lazima uidowngrade,thé one AND only one fix.nitafute nikusaidie 0658327429.
 
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Messages
1,122
Likes
572
Points
280
Age
19
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2015
1,122 572 280
huwa hack ya console yoyote ile inaenda na version husika, huwezi uka update then ikafanya kazi unless sony wajisahau kufix hilo tundu walilotumia ku hack.

hapo itabidi u downgrade, ila kama una mawasiliano na alie hack hio ps3 yako ni vyema ukashauriane naye kwanza.
hapa kwanza mkuu haiwezekani ku-downgrade ofw4.81 4.82 huyo jamaa alifanya ujinga ku-update from CFW TO OFW
Cha kufanya kwa sasa ni kucheza games kwenye mashine yake kwa kutumia njia zifuatazo
-Kununua CD
-kununua games fron ps store
-Au kufanya DTU from CFW PS3
AU labda asubiri jailbreak ya esc0rtd3w ambayo ni kwa ajili ya latest OFW kama itafanya kazi
 
mwangere

mwangere

Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
68
Likes
3
Points
15
mwangere

mwangere

Member
Joined Jun 20, 2012
68 3 15
Kwakua umeichip ni kosa kijinai na ndio maana sony wenyewe wana blog netserver zao kwa kila ps ilikua chiped chakufanya mkuu ww format ps3 upya tafuta multiman ingiza game zako tu coz huwez irudisha kma mwanzo tena
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
Kwakua umeichip ni kosa kijinai na ndio maana sony wenyewe wana blog netserver zao kwa kila ps ilikua chiped chakufanya mkuu ww format ps3 upya tafuta multiman ingiza game zako tu coz huwez irudisha kma mwanzo tena
Kweli mkuu
 
mwangere

mwangere

Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
68
Likes
3
Points
15
mwangere

mwangere

Member
Joined Jun 20, 2012
68 3 15
Hebu nifafanulie kidogo hapa mkuu
Sio kazi kubwa kma uko na ps3 yako hapo chakufanya nikuichomeka kwenye umeme kisha unashikilia power button kwa muda kma wa sekunde kumi bila kuachia ukishikilia power itatoka kwenye red button kwenda kwenye green endelea kushikilia usiachie mpka utakapo sikia sound bip utaachia kisha utaona screen yko kwenye tv ikikuambia press ps button kwenye console kisha utaona option nyingi ikiwemo restore
 
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Messages
1,122
Likes
572
Points
280
Age
19
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2015
1,122 572 280
Kwakua umeichip ni kosa kijinai na ndio maana sony wenyewe wana blog netserver zao kwa kila ps ilikua chiped chakufanya mkuu ww format ps3 upya tafuta multiman ingiza game zako tu coz huwez irudisha kma mwanzo tena
mkuu kweli hivyo itafanya kazi multman kwenye official firmware
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
Sio kazi kubwa kma uko na ps3 yako hapo chakufanya nikuichomeka kwenye umeme kisha unashikilia power button kwa muda kma wa sekunde kumi bila kuachia ukishikilia power itatoka kwenye red button kwenda kwenye green endelea kushikilia usiachie mpka utakapo sikia sound bip utaachia kisha utaona screen yko kwenye tv ikikuambia press ps button kwenye console kisha utaona option nyingi ikiwemo restore
Nikirestore itarudi katika ofw ambayo ilikuja nayo.then nitakua na uwezo wa kuingiza cfw?
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,632
Likes
5,671
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,632 5,671 280
Nina leta mrejesho, baada ya kuhangaika sana hatimaye nimefanikiwa kuirekebisha ps yangu na.pia game kama nba 2k 16 lilikua halichez mwanzon sasa hivi fresh. It took hard work kuhangaika mpaka kupata 4.82cfw, kuweka miniserver kwa pc nakuirun, .flsh hex file na some prayers maana nliogopa sana kuibrick console yangu. Am back on business
 
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Messages
1,122
Likes
572
Points
280
Age
19
the great wizard

the great wizard

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2015
1,122 572 280
Nina leta mrejesho, baada ya kuhangaika sana hatimaye nimefanikiwa kuirekebisha ps yangu na.pia game kama nba 2k 16 lilikua halichez mwanzon sasa hivi fresh. It took hard work kuhangaika mpaka kupata 4.82cfw, kuweka miniserver kwa pc nakuirun, .flsh hex file na some prayers maana nliogopa sana kuibrick console yangu. Am back on business
yeah shukran kubwa kwa escotdew habib pamoja na member wote wa ps3exploit kwa kutuletea kudump nor/nand kwa hizi ps3 zetu ambazo haziko jailbreaked
na hii method inafanya kazi kwa ps3 fat na slim tu yani zile za CECH 2XXX au chini
usijaribu kwenye ps3 super slim cech 4xxx
 
Forum statistics

Threads 1,251,851
Members 481,916
Posts 29,787,571