Msaada wa haraka kwa hii ps3 yangu....!!!

yeah shukran kubwa kwa escotdew habib pamoja na member wote wa ps3exploit kwa kutuletea kudump nor/nand kwa hizi ps3 zetu ambazo haziko jailbreaked
na hii method inafanya kazi kwa ps3 fat na slim tu yani zile za CECH 2XXX au chini
usijaribu kwenye ps3 super slim cech 4xxx
Ni kweli mkuu, natafuta sana sniper elite afrika
 
JAMANI MSAADA WENU PS3 YANGU HAISOMI MAGAME YA KWENYE EXTERNAL HARD DISK ILA NIKIWEKA KWENYE PS3 NYNGINE INAKUBALI
 
Back
Top Bottom