Money gram,west unionHabari wadau...poleni na majukumu...jamani MTU yoyote ambae anajua utaratibu wa kutumiwa pesa kutoka nje kupitia nmb tafadhali anisaidie hata sasa hivi..
Nenda nmb watakufahamisha.Habari wadau...poleni na majukumu...jamani MTU yoyote ambae anajua utaratibu wa kutumiwa pesa kutoka nje kupitia nmb tafadhali anisaidie hata sasa hivi..
Nashukuru nimeongea naoNenda nmb watakufahamisha.