MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Kuna mdogo wangu anajaribu ku-apply kozi level ya degree kupitia NACTE, yeye ni diploma holder.
Tatizo anafika mahali imeandikwa CHUO ULICHOSONEA, tukiangalia kwenye list ya vyuo vilivyoorodheshwa chuo chake alichosomea hakipo kwenye list ya vyuo hivyo.
Alisomea CLINICAL OFFICERS TRAINING MTWARA na ni chuo cha siku nyingi cha serikali kilichosajiliwa moja kwa moja muda mrefu sana na ana vigezo vyote GPA ya 3.8.
Msaada wenu wadau afanyenye maana anashindwa kuendelea kuomba.
Nitashukuru kwa msaada wenu.