Msaada wa haraka kuhusu jino unahitajika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka kuhusu jino unahitajika!

Discussion in 'JF Doctor' started by MAKOLE, Aug 13, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wapendwa, niling'oa jino siku ya ramadhani 3, hadi leo ramadhani 23 kidonda kinanisumbua. nilitumia dozi ya cloxaciline na flagile kwa siku 5 nikarudia siku 5 nyingine baada ya siku 4. Kidonda kinaelekea kufunga lakini kuna maumivu yapo constant, hayapungui wala hayazidi lakini kila nikiingiza pamba natoa usaha uliochanganyika na damu. nna hakika hakuna kipande ndani kwani nikiangalia jino lenyewe ambalo ni namba 18 limetoka lote ila shimo ndio lilikuwa kubwa kwani mizizi ilienda chini sana. Je hii ni hali ya kawaida? Nifanyeje ili kidonda kifunge kabisa? Nawaomba sana mniokoe mwenzenu naumia sana! jino lenyewe katika picha ya hapa chini linafanana na hilo namba 18

  Tooth Numbering System.gif
   
 2. K

  Kiyoya JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,280
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  piga 0756099621 ni kusaidie
   
 3. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nakushukuru sana Kiyoya kwa kujali!
   
Loading...