1. Inategemea na quality ya hio video na njia ambayo video inapita mpaka kufika kwenye computer, Kama video Ina quality kubwa na waya ama port ya PC ama ya external bandwidth yake Ni ndogo Basi itanata nata. Kuhakiki zaidi tafuta video zenye quality ndogo Kama zile wanazotumiana watu WhatsApp Kama zitaplay vizuri Kuna tatizo Hapa.
Kufix angalia Kama external yako Ina high bandwidth port Kama USB 3, tafuta waya wake Kisha chomeka kote kote kwenye USB 3 ya laptop na ya PC.
2. Umeme wa kutosha haufiki kwenye external, kusolve hili chomeka external kwenye port inayotoa umeme mwingi Mara nyingi kunakuwa na kialama Cha chaji ama battery kwa pembeni. Alternative nunua waya wenye USB mbili moja ya chaji na nyengine ya data.
3. External yako inaanza kufa.