Specification ios7.1.1 bought at a second hand from my friend ambae kwasasa hapatikan na nshafanya restoration lakin device ina demand account that was used to setup that ipad
kama uko Dar ilete OUT Biafra nitafute Kwa namba hii 0715520060 nikusaidie
kama uko Dar ilete OUT Biafra nitafute Kwa namba hii 0715520060 nikusaidie
kama uko Dar ilete OUT Biafra nitafute Kwa namba hii 0715520060 nikusaidie
Acha uongo, sema unatumia njia gani usitake kumtapeli jamaa.
Jiheshimu kijana fahamu unapoishia wewe kufikiri wenzako wanaanzia hapo kwenda mbele acha ku coppy na ku paste umiza kichwa kutatua yalio magumu. Nimtapeli kwa akili yako thamani ya hicho kisimu ni sawa na utu wangu ----- wewe na akili zako finyu na fupi kama kimo chako. PERIOD.
kuondoa iCloud Lock haiwezekani dunia nzima, acha kupotezea watu muda..ITech acha uduwansi iyo kitu ata mimi naweza,sema unataka kufunzwa njoo kinidhamu siyo ivyo unavyokuja
kuna kubypass unatumia evrythng fine isipokuwa 3g na gsm network.... kama simu inakuwa kama ipod tu using wifi!! ila hyo kitu ni bure kbsaa hata wewe unaweza ukafanya, kuna servers huwa wanazitumia
ITech acha uduwansi iyo kitu ata mimi naweza,sema unataka kufunzwa njoo kinidhamu siyo ivyo unavyokuja