nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,504
- 3,402
Aisee, kwamba hiyo haiwezekani?Kama umezichoka hizo hela zilete hapa Jukwaan utugawie kila mmoja tunywee bia
Tukuombee Dua njema
Ndo maana nimeleta uku wakuu, nifafanulieKiongozi shituka, bongo ukiona unaitwa kwenye fursa jua kuwa wewe ndio fursa yenyewe. Ogopa matapeli
Kwa vip?Video yenyewe tu AI
Hahaha kwa vip mkuu?Jaza ujazwe
Mnanitisha wakuuIngia uingizwe
AiseeVideo sio halisi ni Al
Kama hujuwan na mtu na hauna uhakika wa kukutana naye mkakagua usalama wa fedha zenuAisee, kwamba hiyo haiwezekani?
Kwahiyo unaamini uyo mdada anaeongea amejirecord?Kwa vip?
Hahaha hatarisijakuelewa au ni huyu mjingaView attachment 3612683
Hapana sijamwamini... Ndio maana nimeleta ukuKwahiyo unaamini uyo mdada anaeongea amejirecord?