Msaada wa haraka jamani!

Msaada wa haraka jamani!

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
8,246
Reaction score
12,797
Nilikuwa nasoma pdf file mara ghafla screen ya computer yangu dell latitude d600 ghafla ikabadirika rangi na kuwa ya blue na some error msg zikajionyesha. Nimeizima na kuanzia hapo haiwaki tena! Kila nikiwasha inajaribu kuwaka (bila ku-display chochote kwenye screen) na kuzimika. Nifanyeje?
 
kama una cd ya windows unaweza jaribu kuiformat itakuwa ni virus.kama ingekuwa blue screen fo death,ingewaka ikakuletea blue screen.
 
asante, hata jinsi ya kuweka cd hiwezekani kwani kufungua mlango wa cd lazima computer iwe imewaka! Hii ukiwasha inajaribu kuwaka na kuzimika ghafla.
 
asante, hata jinsi ya kuweka cd hiwezekani kwani kufungua mlango wa cd lazima computer iwe imewaka! Hii ukiwasha inajaribu kuwaka na kuzimika ghafla.

Jaribu kuifungua uangalie processor labda imeishiwa thermal paste au fan kama zinazunguka
 
Jaribu kuifungua uangalie processor labda imeishiwa thermal paste au fan kama zinazunguka

Asante kwa ushauri, hata hivyo nimejaribk ku-google si unafahamu 8,800,000,000 results za google kuzichambua ili upate moja ya kukusaidia!

Nimegundua kumbe eti ni RAM, hii mashine ina ram mbili, nilitoa moja na mashine ikawaka ila niliporudisha ile nyingine tatizo likarudi. Nilipohamishia ram kwenda slot nyingine mashine haikuwaka....nirijaribu ile ram nyingine...lengo kwa mujibu wa maelezezo ya ' google' ilikuwa ni kufahamu kipi kina tatizo: mother board au ram.
Hadi sasa hivi sijapata jibu, computer imewaka ila inatumia chip moja ya ram nyingine inegoma, bado naomba ushauri kwani ninahitaji memory kubwa.
 
asante, hata jinsi ya kuweka cd hiwezekani kwani kufungua mlango wa cd lazima computer iwe imewaka! Hii ukiwasha inajaribu kuwaka na kuzimika ghafla.

hapo kutakuwa na shida ya hayo ma hardware humo ndani. tafuta mtaalam akusaidie. kama ikipona fanya juhudi utafute computer ya kisasa hiyo yako ni ya zamani sana.
 
Back
Top Bottom