Msaada wa haraka jamani, hii kozi ya stahada ya ualimu elimu ya ufundi sekondari ipoje ajira zake ?

10fc70d3665321c6b9e32cb313d312e2.jpg
apply hii stashahada ya ualimu sayansi ya jamii na lugha tuma mapema sana una ufaulu gani kwenye HKL ?
 
Mwaka huu
Apply tu una sifa sitahiki kabisa tuma vyuo vya mtwara k teachers college ,tabora teachers college ,nk utachuguliwa tu lazima lipia elfu ishirini kupitia M-PESA then chagua vyuo chagua kozi ya stashahada ya ualimu sayansi jamii na lugha sekondari ,miaka miwili utasoma
 
Sasa hapo kwenye Ku apply ndio nataka unielekeze.nkisha lipa nafanya nn tena
 
Back
Top Bottom