Chichi Theboy
JF-Expert Member
- Feb 20, 2015
- 429
- 499
Habari wanajamvi,msaada wa haraka unahitajika kuna rafiki yangu aliweka call barring for all incoming calls kwenye simu yake mpaka sasa hapokei simu wala sms.
Tumejaribu kutoa kwa kutumia namba *35*1111# lakini inagoma pia tumeenda kwenye call settings ili kucancel lakini inadai password na kila password tunayoweka inagoma(0000)(1234) wajuvi wa hizi kazi mnisaidie.
natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app