Msaada wa haraka Hali ni mbaya

Msaada wa haraka Hali ni mbaya

miss chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2019
Posts
303
Reaction score
660
Habari? Naombeni mnisaidie dawa nzuri inayotibu kikohozi kwa haraka hata ndani ya siku 2 au 1, nmetoka kujifungua juzi kwa oparation sasa Jana usiku nimepatwa na kikohozi Cha ghafla nikikohoa mshono unauma sana mpaka nalia nahisi Kama utafumuka. Naombeni mnisaidie jina la dawa nikanunue nianze kunywa sahivi kabla hakijazidi
 
Hongera kwa kuongeza mtz mwingine.
Ninakushauri urudi hosipitalini haraka.
 
Kuna ule msemo wanasema

Nimepiga kwenye mshono

Kumbe mshono unauma hivyo pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom