Wakuu nilishawahi ona thread yenye software na keys zake. Kama kuna mtu anaikumbuka naomba anipe link yake ...nilikuwa natafuta antivirus software haraka iwezekanavyo!

Nami naomba kama kuna mtu alifanikiwa kuongeza speed internet kwenye kompyuta yenye Window 7 operating system anisaidie hili li laptop limekuwa slow mithili ya kinyonga