Simu yangu n Blackberry! Imejilock! Msaada kwa anayejua How To Unlock! Inaniandikia niweke Password! Afu mie password nishazisahau!