Msaada wa GTA:liberty city

gamestar wana gta 1,2,3 ambayo ni san andreas na 4 ambayo ndo version ya mwisho kwa pc almaarufu kama vice city na pia wana libert city kwa psp inabidi ukubali apo mkuu na pia hauwezi kuinstall setup pekeake cha kufanya kachukue file zima la game uliweke ndo uinstal upo apo

ila pia kuna zilizo chakachuliwa mfano gta vice city imechakachuliwa inaitwa star man mode wame weka magari ya kweli na brand names zake pia wame ongezea na statue of liberty ambayo modification imefanywa na jamaa anaitwa Odie pia rowell ray smith from 3dcafe.com
 
Mbona hizo ni software zipo official released hata wewe unaweza fanya customization yako.

Mfano mimi nyumbani nimefanya vile vi vespa nimeeka ni vile vitenga vya super market. Pikipiki zile za motorcross nkaeka suzuki hayabusa so ni wewe kuchagua kipando jengo au chochote mule na ku upload picha ya kitu kitachoreplace
 
Back
Top Bottom