njia rahisi ndefu ni kutumia photoscape unatengeneza image nyingi unaziunganisha pamoja. ni software ya bure just google.
software kama adobe after effect unatengeneza animation nzuri sema inahitaji knowledge kidogo.
kuhusu tutorial kwa experience yangu mimi mtu anaepewa tutorial mara nyingi hajifunz sana. anaejua sana ni yule anaetafuta tutorial specific za kitu anachofanya.