Mwambie apambane sana semester ijayo na nyingine ili ikiwezekana overall GPA ije kucheza kwenye 3.8 na 4.0wakuu nina mdogo wangu anasoma diploma ya biomedical engneering
sasa anauliza je GPA ipi ni nzuri zaidi kwakua hii semister ana 3.3 msaada kwenu wakuu yupo first year ni vzuri zaid akijua gpa ipi inafaa zaidi
Amantaini 3.5 and abovewakuu nina mdogo wangu anasoma diploma ya biomedical engneering.
Sasa anauliza je GPA ipi ni nzuri zaidi kwakua hii semister ana 3.3 msaada kwenu wakuu yupo first year ni vzuri zaid akijua GPA ipi inafaa zaidi
Overall inaanz 2.0 akaze 3 kwenda mbeleAjitahidi Sana, ikipigwa overall awe juu ya gpa inayotakiwa...
Yeah,3.5 kwenda juu...Overall inaanz 2.0 akaze 3 kwenda mbele
3.5 na kuendeleawakuu nina mdogo wangu anasoma diploma ya biomedical engneering.
Sasa anauliza je GPA ipi ni nzuri zaidi kwakua hii semister ana 3.3 msaada kwenu wakuu yupo first year ni vzuri zaid akijua GPA ipi inafaa zaidi
wakuu nina mdogo wangu
Umemkamata😂😂😂😂Kwanini unamsingizia mdogo wako wakati mwenye shida ni wewe?