Mahorii : habari?
Gharama za msingi wa ghorofa hua inategemea na mchoro unaojenga na sehemu unayojenga
Mfano kwa Dar bei inaweza kua 20m - 25m kutokana na gharama za vifaa vya ujenzi viko chini mfano
Mchanga 300k - 350k
Saruji 16,500 - 17,500
Nondo 1 ton 1,800,000 - 2,500,000
Kokoto 2,200,000
Changamoto ya Dar ni mafundi kutaka gharama kubwa kwenye ujenzi
Mfano Dodoma,
Gharama ya saruji ni 19,500 - 20,000
Gharama ya ufundi ni nafuu, so hapa kwa msingi ni 25m - 30m
Kokoto 1,600,000
Mfano Zanzibar,
Mchanga ni gharama kubwa 800,000 kwa gari Moja, pia kokoto hazina ubora hivyo ili uweze kupata grade nzuri ya Zege lazima saruji utumie nyingi,
Gharama ya msingi 35m - 50m