Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Kinakwenda kph ngapi? Na mlima kinapanda kweli?
Hii inafanana na ile ya zamani kidogo ya kakakuona na kwa sasa sijui kama bado ipo
Halafu ina gear ya baiskeli hapo sasa naona fundi wote watakutana hapo
Hahahahahahaaaa ....kukutanisha mafundi wote hapo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu!