ng'wanankamba
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 345
- 118
Wadau naombeni msaada kwa anayemfahamu fundi simu anayeweza ku unlock Iphone 4S kutoka UK. Ilikuwa inatumika kwenye mtandao wa O2 huku Uingereza.

ninazo Gevey Ultra S za kuUnlock iPhone 4S Baseband zote IOS 5.1.1 or earlier. nafanya pia Factory Unlock. kama utahitaji tuwasiliane kupitia 0716-904626, 0767-174757Wadau naombeni msaada kwa anayemfahamu fundi simu anayeweza ku unlock Iphone 4S kutoka UK. Ilikuwa inatumika kwenye mtandao wa O2 huku Uingereza.
zipo pia gevey za IOS 6 mkubwa, nilikuwa nazo sema zimeniishia kwa sasa,,Gevey sim will not work kwenye iphone 4/4s especially on ios 6.0.1+....unless you preseved modemfirmware baseband from old 5.0.1.
The only way is to remote unlock or buy unlock code which depends on your imei and network carrier (o2)which from the internet for o2 network is $100-120.
Wote watakuzungusha mpaka utakoma..