Msaada wa Fundi simu anayeweza ku unlock Iphone 4S

ng'wanankamba

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
345
118
Wadau naombeni msaada kwa anayemfahamu fundi simu anayeweza ku unlock Iphone 4S kutoka UK. Ilikuwa inatumika kwenye mtandao wa O2 huku Uingereza.
 
Ninavyoelewa kuunlock 4s ni ifanye kampuni yenyewe iliyolock au ununue kifaa cha gevey ambacho kinaingia sehemu ya SIM.
 
Wadau naombeni msaada kwa anayemfahamu fundi simu anayeweza ku unlock Iphone 4S kutoka UK. Ilikuwa inatumika kwenye mtandao wa O2 huku Uingereza.

Very simple .kuna chip inayouitwa Gevey ndio inayotumila kuanlock gsm phone
 
Hiyo chip aka Gevey inapatikana hapa Bongo na kama inapatikana wapi na mnaweza kunisaidia bei elekezi?
 
Kuna jamaa mmoja anaitwa Beck's yupo pale Mavuno house Posta, huyu jamaa ni mkali wa Software za simu
nilishampelekea akaifanyia kazi nzuri jaribu ku -check nae.
Mavuno house ukuta unaotaka gusana na Fast Food kuna kauchochoro yupo humo ndani au ukiuliza hao jamaa hapo njee anafahamika sana.
 
Wadau naombeni msaada kwa anayemfahamu fundi simu anayeweza ku unlock Iphone 4S kutoka UK. Ilikuwa inatumika kwenye mtandao wa O2 huku Uingereza.

Hi urahisi unaweza kufungua iphone4s yako kwa kutumia kijijini kufungua njia. Kama unahitaji kurejelewa kijijini huduma ya kwanza kutembelea hii Simpleunlocking.com tovuti hapa kwanza unaweza kuangalia kama netwok mtoa sasa inapatikana au la. Kama inapatikana yake kupata kanuni kufungua kutoka kwenye tovuti hii na kufungua iphone4s yako. Hapa i pia got kijijini kufungua huduma na unlocked iphone4s yangu kutoka Uingereza na mtoa Vodafone. Kutumia maelekezo kurejelewa bure kutoka MobileUnlockguide.com tovuti hii
 
Gevey sim will not work kwenye iphone 4/4s especially on ios 6.0.1+....unless you preseved modemfirmware baseband from old 5.0.1.
The only way is to remote unlock or buy unlock code which depends on your imei and network carrier (o2)which from the internet for o2 network is $100-120.
Wote watakuzungusha mpaka utakoma..
 
Wadau naombeni msaada kwa anayemfahamu fundi simu anayeweza ku unlock Iphone 4S kutoka UK. Ilikuwa inatumika kwenye mtandao wa O2 huku Uingereza.
ninazo Gevey Ultra S za kuUnlock iPhone 4S Baseband zote IOS 5.1.1 or earlier. nafanya pia Factory Unlock. kama utahitaji tuwasiliane kupitia 0716-904626, 0767-174757

gevey-ultra-s-cdma-iphone4s__91926.jpg
 
Gevey sim will not work kwenye iphone 4/4s especially on ios 6.0.1+....unless you preseved modemfirmware baseband from old 5.0.1.
The only way is to remote unlock or buy unlock code which depends on your imei and network carrier (o2)which from the internet for o2 network is $100-120.
Wote watakuzungusha mpaka utakoma..
zipo pia gevey za IOS 6 mkubwa, nilikuwa nazo sema zimeniishia kwa sasa,,

gevey-6_1.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom