Msaada wa fundi mzuri wa suzuki new model

Wikiliki

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
528
Reaction score
141
Wadau nipo hapa dsm ninatafuta fundi mzuri wa suzuki hizi new model wengine wanaziita za s kubwa. Ni ya mwaka 2008 . Hawa mafundi wa kawaida wanaziogopa wanasema software/umeme mwingi hivyo hawaziwezi. Anayejua fundi au garage nzuri aniambie
 
Mkuu ina tatizo gani? Kama ni check engine kuna kifaa kinaitwa code reader unapachika palee chini ya steering kinaweza soma tatizo kwa mfumo wa codes. Mfano D342 ndio code inasomeka, chukua hiyo namba google Suzuki escudo 2008 codes, utatafuta maana ya hiyo code na katika page hiyo hiyo itakuambia tatizo. Most common problem huwa ni oxygen sensor mpk check engine inawaka.

Hata hivyo kama tatizo lako ni check engine pekee don't worry! Tafuta fundi taratibu hata ikifika 6months don't worry kbs. Ila TAHADHARI, ukiona check engine inaflash baasi peleka haraka sana gari kwa fundi au usiendeshe kabisa. Hapo ni zaidi ya hatari, asante
 
mkuu inatatizo gani?? mm hapa ni fundi umeme nipo tuwasiliane mashine ya kupimia ipo .utatengenezewa tuu 0717228064
 
Mkuu ina tatizo gani? Kama ni check engine kuna kifaa kinaitwa code reader unapachika palee chini ya steering kinaweza soma tatizo kwa mfumo wa codes. Mfano D342 ndio code inasomeka, chukua hiyo namba google Suzuki escudo 2008 codes, utatafuta maana ya hiyo code na katika page hiyo hiyo itakuambia tatizo. Most common problem huwa ni oxygen sensor mpk check engine inawaka.

Hata hivyo kama tatizo lako ni check engine pekee don't worry! Tafuta fundi taratibu hata ikifika 6months don't worry kbs. Ila TAHADHARI, ukiona check engine inaflash baasi peleka haraka sana gari kwa fundi au usiendeshe kabisa. Hapo ni zaidi ya hatari, asante

nyie ndio huwa mnaharibu magari . usifanye mambo kwa kukariri mkuu hata ubaweza pewa mashine na ukashindwa kuitumia au unaweza pewa hiyo code hapa na ukashindwa kabisa kujua tatizo ni nini ??

mambo ya kifundi kama huna interest ya kifundi ni magum sana.

kwakuwa kasema yeye yupo dar mm nampa ofa ya ki JF kama tatizo lake linahitaji kupimwa na mashine diagnosis basi haina shida mm napatikana mwenge nitampimia bure kabisa na kama atataka nimfuate alipo hata kama ni mkoani au nje ya mwenge yy atagaramikia nauri tuu ya kwenda na kunirudisha mwenge.

bure yangu ni juu ya kupima tuu kama kutakuwa na tatizo basi itatakiwa anunue spare.
 
Mkuu gari yangu the same 2007 nimeshasov hilo tatizo. Na toka 2013 napeleka gari kwa fundi pale nimaposhindwa tu na sio kua muoga km unavyoaminisha. Code reader ninayo na inafanya vzr tu nimaweza kugundua tatizo na ninasolve pale ninapoweza.

Watu tuache woga, haya mambo yapo tu mtandaoni ingia forum za suzuki unachat mpk na experts walio na degree za magari, sio ufundi wa kuunga unga wa kusomea kwa mjomba na kutisha tisha watu.

Haya kwa utaalamu wako wapi nimekosea katika maelezo yangu? Jibu kwa hoja sio kusema tu 'nyie ndoo mnaharibi magari'

Afu hizo code reader mnawapiga bei kweli watu mweee huu ujinga huu basi tu, haya bwana we piga deal. Ujinga wa mwingine ni faida kwa mwingine, kila la kheri
 
Asanteni sana. Mwenye mchango anakaribishwa
 
habari naomba msaada gari yangu suzuki escudo fundi alifanya overhall sasa baada ya hapo imekuea ni tatizo taa ya od ina blinkimg baada ya kutenbea umbali wa km 1 tu ni shida maana na nguvu inapungua na silence inaenda chini yani rpm inashuka chini gari inazima

Sent from my SM-J510F using JamiiForums mobile app
 
Suzuki nin?
Gari? Simu? Computer? Pikipiki?
 
Back
Top Bottom