Msaada wa free E-Resources | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa free E-Resources

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Magezi, Jun 30, 2011.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Wandugu naomba kwa yeyote mwenye access ya free E-Resources kwa science & Technology anisaidie make nahitaji ku-access papers mbali mbali ambazo zitanisaidia kupata mawazo tofauti kutoka kwa aurthors wengi.

  Kwa mfano mwenye kunisaidia kupata access kwenye www.sciencedirect.com inaweza kunisaidia sana kwani natarajia kuingia kwenye mchakato wa PhD hapa bongo na tatizo ni kupata resources kama hizi.

  Nawasilisha.
   
Loading...