B Bin S JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 400 Reaction score 659 Sep 11, 2025 #1 Hivi kama una mkopo bank, na hiyo bank ikafilisika. Ni Nini hatima ya mkopo uliokuwa nao?
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 1,322 Reaction score 3,173 Sep 11, 2025 #2 Utaendelea kudaiwa
K kamarah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 1,224 Reaction score 2,432 Sep 11, 2025 #3 mwaibile said: Utaendelea kudaiwa Click to expand... Anamlipa nani wakati shughuli za kibenki zimesimama!?
mwaibile said: Utaendelea kudaiwa Click to expand... Anamlipa nani wakati shughuli za kibenki zimesimama!?
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,715 Sep 11, 2025 #4 Watakudai kwa nguvu na hasira nyingi...
Foffana JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 2,694 Reaction score 4,390 Sep 11, 2025 #5 Utaendelea kudaiwa na mkopo wako utauzwa kwenda kwenye benki nyingine