Sparkle boy
Member
- Oct 19, 2012
- 75
- 8
Wadau wa forum hii ni watu wa aina mbalimbali wafanyakazi, wastaafu, wasaka kazi n.k ombi langu sasa ni kwa mtu mwenye uwezo wa kuniunganisha (network) ya kupata field kwenye Benki yoyote hapa Tanzania.
Kuomba kwangu msaada kunatokana na ugumu wa kupata field kwenye mabenki yaliyopo nchini.
Asanteni
Kuomba kwangu msaada kunatokana na ugumu wa kupata field kwenye mabenki yaliyopo nchini.
Asanteni