Msaada wa faculty ya kusoma

Msaada wa faculty ya kusoma

dokta mifugo, halafu kijana acha utani yenyewe si inajieleza yenyewe bachelor of veterinary medicine au? usipokua makini kijana hutoboi
Sio hvo bro....!! Nachanganya kati ya mifugobya kufugwa na wanyama pori.. kuna jamaa alinambia ni vtu viwil tofauti.
 
mkuu usiwe mbishi bana me mwanachuo nko mwaka wa kwanza brn hapa. kwa kutumia division unaweza convert kwenda GPA so we uliesema point na mimi niliesema division hamna tofauti kikubwa ujue namna ya kuzipata hizo point, ndio muhas MD minumum ni point7 sasa hiyo division unashiundwa ku balidisha kweli hapo kwenda GPA? acha kukariri maisha ndo maana watanzania hatufanikiwi sababu tunatumia njia zilezile zinazosemwa vinywani mwa wengi
OK bwana msomi, ngoja mi niendelee kukalili maisha. Ongera Sana kwa kuwa mwaka wa kwanza chuoni.
 
Wadau... Mimi nimehitimi kidato cha sita mwaka huu ila mchepuo wa PCB. Ila napata mkanganyiko nichague faculty gani zenye kulipa vizuri baadae. Nisaidieni jamani,
Naifaham MD tu... hzo nyingine hata szijui.. Pia nisaidieni wadau.. hivi nanaweza kuapply BVM?
Una ubavu wa kusona bvm???? Ujue bvm ni mara nne ya md!!
 
Umewahi kuzisoma zote? Umejuaje kama BVM ni mara nne ya MD?
Hata kama nikikwambia ndio utaaamini??? Je kumtibu paka/ng'ombe ni sawa na kumtibu binadam anayeongea????

MD wanamsoma binadam tu, bvm wanaanza na binadam plus wanyama ..paka, ng'ombe mbuzi mbwa ngamia punda farasi chui na wengineo!!! Wote hao lazima wawajue indetails!!! Nadhani umenipata
 
Kama hujazisoma zote unawezaje kulinganisha mkuu

Ugumu ni relative term,lakini walioset syllabus na wakazipa zote 5 years duration waliliona hili

Kama BVM kwako ni ngumu ,kuna wengine ipo kawaida tu

Narudia,bvm ni ngumu mara nne KWAKO
 
Ndio maana nikakwambia hata kama nikisema utaniamini??? Nnaposema ni ngumu naongelea coverage yao! Baf ya mzumbe sio sawa na mzumbe interms of content!!

Sikulazimishi uamini ila hutabadili ukweli!
 
Kwa PCB course ni nyngi sana tatizo watu wengi wamekariri MD phamacy akikosa hzo basi..education.wakati kuna kozi kama wildlife,enviromental,nutrition,botany,zoology,geology,petroleum,chemistry,laboratory,microbiology,radiology,aquatic,hortculture na nyngine nyngi tu
 
Afu kwel mkuu....
Kwani na hizo zina mkopo kama ukisoma??
 
Kwa PCB course ni nyngi sana tatizo watu wengi wamekariri MD phamacy akikosa hzo basi..education.wakati kuna kozi kama wildlife,enviromental,nutrition,botany,zoology,geology,petroleum,chemistry,laboratory,microbiology,radiology,aquatic,hortculture na nyngine nyngi tu

Watu wamekariri hizo kwa sababu loan ni uhakika,kazi hazisumbui sana hata ukitaka kujiajiri na in case ukiajiriwa ,kamshahara ka kuweka ugali nyumbani na chenji ikabaki kapo
 
Back
Top Bottom