Wakilingana anachukuliwa wa kwanza, ili wasilingane ile rank value inabidi uiongezee na SN/1000 au SN/10000 ili kuipa decimal points. Mfano kama mtu wa SN 10 na wa SN 100 wana wastani wa 100, huyu wa SN 10 atakuwa na 100+10/1000=100.001 na huyu wa SN 100 atakuwa na 100+100/1000=100.1