Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
kaka ndio maana sikuelewa..window 7 premium 84 bit kitu kama hiki..drivers zote zipo sipokuwa hito ya internet lakini only nikitumia cable ndio imekataa ku i detect hio cable ..nikitumia moderm inafanya kazi fresh tu .au bado hujanipataAcer kwa wiindow 7 drivers zake ziko ready. Sijui umeweka Version gani ya Windows 7?
ni 84Mkuu hiyo windows 7 ni 84 bit au 64? Huenda kweli haina drivers au hujapatia configuration za Network yako...kujua kama ni kweli haina drivers za Ethernet Right Click My Computer>>Click Properties >>>Click Hardware >>>Divice Manager...... kama kuna device itakuwa imemiss drivers itakuwa na Exclamation Mark ya Njano.
Kama itakuwa haina drivers nenda Google andika Ethernet drivers for ACER ASPIRE 5336 windows 7 Premium
asante sana kaka Mungu akubariki..Hebu jaribu za kwenye hii link hapa chini, chagua ya sita (6) Broadcom Lan Driver ndio ya Laptop yako...
Acer Aspire 5336 Drivers - download tag - Softpedia
Wakuu hatuna 84 bits tuna x86
x86 inatokana na 80x86 processor ambapo x= 2, 3, 4 ilipofika tano ndio likaja jina la pentium (penta=5)
x86 ina refer kwa 32 bit processor lakini kwa sasa kutofautisha wanaandika x86-(32-bit) au x86-(64-bit) inayoandikwa kama x64 pia.
Japo ni somo refu ila baada ya 64 bit tuna 128 bit kati hapo hakuna nyingine so 84 bit haipo
yap mkuu ni kweli ni x86..hii yangu niliyoweka ni x86 ultimate sasa kwa nini hii aspire 5336
kaka ndio maana sikuelewa..window 7 premium 84 bit kitu kama hiki..drivers zote zipo sipokuwa hito ya internet..
Hapo ndio penyewe
Ila make sure unachagua OS uliyanayo maelezo yako yanachanganya kidogo
Kwenye red, ni ipi kati ya hizo?
yap mkuu ni kweli ni x86..hii yangu niliyoweka ni x86 ultimate sasa kwa nini hii aspire 5336 inakataa kufanya kazi ukiweka ethernet? mdau kanipa link hapo juu nimeidownload nimeweka ila inaonyesha driver ya ethernet ndio ina miss zingine zote zipo.
unaniambiaje hapo kaka?
haina mambo ya kujiregister sijui kulipia?Mimi mara nyingi huwa natumia Driveridentifier ili kupata missing drivers ambazo ni compartible kwa pc yoyote. Uki run hii software inaleta summary ya drivers zote zinazomiss na zilizo outdated, unachotakiwa kufanya ni kujua tu OS ya pc yako kama ni 32 au 64bit kisha unabofya kwenye hiyo driver unaanza kudownload instantly. Tatizo lake, inahitaji internet connection.
haina mambo ya kujiregister sijui kulipia?
Mkuu jaribu kwanza uone, mbona unakuwa na wasiwasi? Kwanza kijifaili chenyewe hata 2Mb hakifiki.
Hii kitu ni free, otherwise, ningekuambia.