Msaada wa email za Waheshimiwa Hawa.

Msaada wa email za Waheshimiwa Hawa.

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Posts
6,224
Reaction score
4,186
Shalom Waungwana. Tafadhali sana naomba kwa yeyote mwenye email za watu hawa anisaidie:


James Mbatia - Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe.

Mustafa Sabodo - Mfanyabiashara.
Mohamed Dewji - Mbunge wa Singida mjini.


Natanguliza shukurani nyingi kwa msaada.
 
James mbatia anapatikana kwenye face book......mcheck huko utapata na contact details zingine
 
nteni sana wakuu kwa michango yenu. Nitaendelea kusubiri wengine. Hiyo blog ya Mohamed Dewji kwa mwingine anayeitaka itambidi aongeze i pale kwenye Dewji
 
Back
Top Bottom