msaada wa duka la vifaa vya electroniki Dar es salaam

Dr Dre

JF-Expert Member
May 23, 2015
2,556
2,585
habari wakuu
Nahitaji kununua vifaa kwa ajili ya project :vifaa kama transistors,resistors ,capacitors rheostats na vingine kama opamps na IC's
kwa anayejua duka lolote apa dar lenye hivi vifaa jamani anisaidie please
 
makutano ya uhuru st. na msimbazi st.
pale pale kona kuna jamaa wanauza rimoti za tv wamejipanga nje na wapo wengi mno, maduka yote ya apo ni ya electronics na izo IC utazipata
 
makutano ya uhuru st. na msimbazi st.
pale pale kona kuna jamaa wanauza rimoti za tv wamejipanga nje na wapo wengi mno, maduka yote ya apo ni ya electronics na izo IC utazipata
shukrani mkuu ngoja nikajaribu
 
Round about ya zamani kama unaenda mnazi mmoja upande wa kulia duka linaitwa crossrider
 
Back
Top Bottom