Msaada wa duka la viatu Morogoro

Msaada wa duka la viatu Morogoro

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,778
Reaction score
2,052
Habar
Naomba kufahamishwa location morogoro mjini
Duka la Viatu quality
Na Duka la saa za mkononi original
Example
Asanteni.
Screenshot_20230218-211103_1.jpg

View attachment 2522294
 
Saa nazo kuna jamaa muuza urembo geti la kutokea magari anauza elfu tatu mia tano saa kali za gold na silver
 
Au labda tusubiri wengine waje kuelekeza maana mimi naeleza uzoefu wangu hasa sababu na mimi natumia hivo vitu kwa bei hiyo
 
Au labda tusubiri wengine waje kuelekeza maana mimi naeleza uzoefu wangu hasa sababu na mimi natumia hivo vitu kwa bei hiyo
Hahahaha dah jf kweli stress free
komaa nae mpaka aelewe.
Halafu mkuu mwenzako anataka duka la viatu bei kuanzia laki na kuendelea huko na saa hivyo hivyo sasa wewe una mwonyesha saa za elfu 2 mia 5.
 
Habar
Naomba kufahamishwa location morogoro mjini
Duka la Viatu quality
Na Duka la saa za mkononi original
Example
Asanteni.View attachment 2522293
View attachment 2522294
Nenda morogoro ple stand ya hiace ya zamani ukishuka tu ple kwenye ile round about maduka ya viatu yapo mengi sanaaa tena ivo uloviweka kwenye picha apo na saa pia zipo

Nimeimiss moro
 
Nenda morogoro ple stand ya hiace ya zamani ukishuka tu ple kwenye ile round about maduka ya viatu yapo mengi sanaaa tena ivo uloviweka kwenye picha apo na saa pia zipo

Nimeimiss moro
Stend ya hiace ya zamani ndo wapi toa ifafanuzi vizuri
 
Hahahaha dah jf kweli stress free
komaa nae mpaka aelewe.
Halafu mkuu mwenzako anataka duka la viatu bei kuanzia laki na kuendelea huko na saa hivyo hivyo sasa wewe una mwonyesha saa za elfu 2 mia 5.
Mwamba huyu hatari
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Back
Top Bottom